Tumefungua rasmi, usiogope kuuliza swali! HAPA UJANJA tu!

website ya STAR FINDER (benz)

Popote ulipo hata kwenye simu bonyeza>>> benz.5021.tips <<< yaani kwenye browser aandika neno BENZ (weka dot) 5021 (weka ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

website ya EPC (Toyota)

www.toyodiy.com ukitaka kujua part number ya kwenye gari ya TOYOTA au ukiwa na part number unaweza kujua part ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

website ya EPC (BMW)

WWW.REALOEM.COM hata bila kuweka Chasis number inakupa mchora ya kila BMW pamoja na part number. Ukijua part number ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

website ya CONVERSION

Kwenye WWW.METRIC-CONVERSIONS.ORG popote ulipo unaweza kubadilisha kutoka, kitengo kimoja hadi nyingine! kwa mfano metres to kilometres AU kilograms ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

website ya CALCULATOR

Nenda www.google.com alafu uweke neno CALCULATOR  au tembelea WWW.CALCULATORIA.COM upate scientific calculator hapo ulipo! Kuna kalamu na kitabu ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

UJANJA WA VPN KWENYE OPERA BROWSER

VPN ni Virtual Private Network ambao inakupa utambulisho wa kuoneka kwenye mtandao kama uko nchi ingine tofauti na ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

UJANJA KUPATA NATS PIN (Nissan Anti-Theft System)

Hii software inaweza kusaidia wakati ku program transponder keys to a wide range of Nissan na Infiniti vehicles.  ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

UJANJA fulani kwenye windows

#1 How To Access Your Folder As a Drive Go to start> run> cmd In command prompt, Type: ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

UFANYAJI KAZI WA HYDRAULIC BRAKING SYSTEM

A hydraulic braking system transmits brake-pedal force to the wheel brakes through pressurized fluid, converting the fluid pressure ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

SOFTWARE YA KUTENGENEZA & KUSOMA ISOfiles

Bonyeza www.wikipedia.org/wiki/ISO_image soma kuhusu .iso files. sasa hii ni software ya kufungua iso files. password ya hii software ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

SOFTWARE KUMBUSHA JINSI YA KUPIMA SENSORS, ACTUATORS, CONTROL BOX…nk

Emotoka empya zona zikozesa computer, kati awo neziba enzibu okukozesa oba okukanika. kati kano ka software kakulanga engeri ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

MAANA auTHAMANI ya RANGI kwenye RESISTOR

Hii ni kusaidiya ku caliculate maana au thamani au valu ya rangi kwenye reistor, download so u install ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

KUTAMBUA EEPROM au IC ya immobiliser

Hii software inakusaidia kujua wapi Ic au EEPROM ya imobilioser inakuwanga! Maelekezo ni haya hapa kwenye hii video ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

KUTAMBUA & KUTENGENEZA TATIZO KWENYE GARI YAKO MWENYEWE

Hii software imekusanya ma tatizo mengi au yote inaweza kutokea kwenye gari lako. So unaweka tu sign au ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

Kitabu-NISSAN TERRANO (repair manual)

alafu hii video inakuonesha jinsi ya kufungua au ku use hiki kitabu https://www.youtube.com/watch?v=NPRN-RhOQns ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

KITABU CHA FUNDI-NISSAN NAVARA

Hiki kitabu kuna wiring diagrams (michoro), vipimo, misomo....nk https://www.youtube.com/watch?v=8jmEzG036xY ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

IMMOBILISER SYSTEM YA KWENYE GARI

Hapa ni kukumbushana kuhusu system ya immobiliser, inafanyaje kazi na different componets it involves, kama transponder, immobiliser ecu,...nk  ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

DPF (emulator)

DPF ni "Diesel Particulate Filter" Tofauti na za petrol kutumia moto (spark), engine za diesel kuchoma mafuta ni ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

ANDROID somo-1 (install JDK-Java Development Kit)

-Kuweza kutengeneza Android application, unahitaji kuweka (install) JDK (Java Development Kit)  then ANDROID STUDIO kwasababu Studio inategemea JDK! ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

ANDROID somo-0 (ufananuzi)

-Katika hili somo, pata kufahamu au umbea sahihi kuhusu system ya android kabla kwendelea kutengenza application za android ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

1-MAANA YA TAA ZA KWENYE INSTRUMENT CLUSTER

Hii video ni moja yakwa zile za kukumbusha maana ya taa kwenye instrument cluster, ukumbuke taa fulani ikiwaaka ...
bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi