ACCELERATOR PEDAL POSITION SENSOR

Hii sensor inachunguza jinsi pedal ya mafuta (acceletaor) imekanyangwa, alafu inajulisha computer ya gari (ECU /CONTROL BOX) ili ijue jinsi throttle itafunguliwa ili iliruhusu upepo upite kuweza kuwasha engine ya gari. APP sesnor ziko mbili wakati moja kwamba moja ikipata tatizo ingine inakuja kufanya kazi ili gari iweze kufika kwa fundi. Hii sensor inapokea +5V na ground (kama -5V) kutoka kwa ECU alafu inarudisha voltage chini ya +5V kulingana pedal imekanyagwa….au jinsi hvideo imejaribu kuelekeza kupima na kurebisha! 

 

Bonyeza hapa ili uweze kwenda kwenye  THROTTHE BODY (Throttle Position sensor, Throttle Actuator Motor &flap)!