AUTOMOTIVE (magari)

Jinsi AIR FLOW METER (sensor) inafanya kazi na kupimwa

AIR FLOW METER┬áinachunguza au kupima upeopo unaoingia kwenye gari kwenda kuungana na mafuta ili engine iweze kuwaka na kutembeza gari. So AIR FLOW METER inapima uzito (mass) na ujoto (temperaure), ndo maana AIR FLOW METER iko na sensor mbili, MASS AIR FLOW sensor na INTAKE AIR TEMPERATURE sensor. Hii video imejaribu kukumbusha maana au mhimu wa hi sensor, inafanyaje kazi, inapimwa aje kama imeharibika au la….nk