HAPA UJNAJA tu!

ujanja wa MASS AIR FLOW METER

AIR FLOW METER inaweza kuwa na MASS AIR FLOW SENSOR & INTAKE AIR TEMPERATURE SENSOR. Kwa ufupi hizi sensor zinachunguza kuhusu upepo unapo ingia kwenye gairi ili kuweza kuchanganyika (combustion) na mafuta ili engine ifanye kazi. So hii sensor inapima uzito (mass) pamoja na ujoto (temperature) ya upepo na kuambia control box (ECU) ili ijue chakuambia componets zingine kama injector za mafuta….jinsi tumejaribu kuelekeza na hii video.


Next ni ACCELERATOR PEDAL POSITION SENSOR so click here baada ya kujibu haya maswali ili ujikague kama umehelewa au kukumbuka