AUTOMOTIVE (magari)

KUHUSU ACCELERATOR PEDAL POSITION SENSOR

Kwenye gari za kisasa hakuna tena ile rod ya chuma ambao ili connect pedal ya accelerator kwenye throttle body.  Siku hizi ni mfumo wa wire au electronic kwamba ukikanyaga kuna sensor inatambua kulinga na jinsi alafu inapeleka message au ujumbe kwenye control box (ECU) au computer, alafu hii Control box inamwambia throttle kunfunguka kulingana itakavyo tambua hii message. Hii video ina maelekezo zaidi.