AUTOMOTIVE (magari)

Kuhusu FUEL PUMP ASSEMBLY (Filter, guage, pump)

FUEL PUMP ASSEMBLY  iko ma pump yenyewe ya kusukuma mafuta, alafu filter ya kutoa uchafu kabla kwenda kwa engine, pamoja na fuel level meter componets (floater, na sensor ya kuchunguza jinsi floater ina move).  Pump inapata moto moja kwa moja kutoka kwa relay! Au jinsi hii video inaonesha!