AUTOMOTIVE (magari)

AIR CONDITION (A/C) system ya gari

Ile chemical au refrigrant au maji ya A/C inazunguka hivii;
COMPRESSOR inaongeza pressure na kuisababisha kupata joto, CONDESSOR inapokea na kuweza kupoza (cool) hii A/C alafu inaenda kwenye DRYER amabao inajaribu kutoa maji inaoweza kuwa ime dillute hii A/C juu ya kupoa. Sasa EXPANSION VALVE inafanya hii A/C kuwa kwenye pressure na temperature ya chini kabla kwenda kwenye EVAPORATOR ambao inasambaza upepo ubaridi ndani kwenye gari. Anyway, jaribu kuangalia hii video uone zaidi