GENERAL CAR SYSTEMS

UJANJA w’IMMOBILISER (Mazda)

Hii ni maelekezo au ujuzi  fulani ya kuhusu immobiliser au system ya funguo ya gari za MAZDA. Utakumbuka kuhusu PATS ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

website ya STAR FINDER (benz)

Popote ulipo hata kwenye simu bonyeza>>> benz.5021.tips <<< yaani kwenye browser aandika neno BENZ (weka dot) 5021 (weka dot) TIPS ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

BMW-X5 (Kitabu matengenezo fasta)

Hiki kitabu kiko na zile shida fulani ambazo maranyigi zinatokea kwenye BMW X5, pamoja na jinsi ya kuzitengeneza.....yaaani, hii ni ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

TRANSMISSION FUNDAMETALS-BMW

On wasting some of your time with/on this module you will be able to: • Recognize automatic transmission advantages. • ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

LEXUS LS 300 (Kitabu matengenezo)

Hiki kitabu kiko na kila unataka ku repair LEXUS LS300. Wiring, mechanical, Service, Body works....nk!  Bonyeza hapa chini uweze ku ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

UJANJA KUPATA NATS PIN (Nissan Anti-Theft System)

Hii software inaweza kusaidia wakati ku program transponder keys to a wide range of Nissan na Infiniti vehicles.  So kamwe ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

NISSAN ELECTERONIC PARTS CATALOG-EPC

Ukitaka kupata part number za spare za NISSAN, au ukitaka kujua part za gari zingine ambao zinaingiliana na hiyo part ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

Kitabu fundi NISSAN FRONTIER -D22

Hiki kitabu full board cha NISSAN FRONTIER zile za D22 (kama hardbody, Navara-fulani) kiko na kila kitu, wiring, mechanics, service, ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

Kitabu cha PEUGEOT 405

Hiki ni kitabu cha kutengeneza PEUGEOT 405. Systems zote kama, mechanics, body, wiring...nk, ziko humu kwenye hiki kitabu! ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

VW-POLO (90-94) Kitabu cha matengenezo

Hiki ni kitabu cha zile VW-POLO za zamani au za mwaka 1990-1994, kiko na wiring, mechanical, funguo.....nk.          ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

Kuhusu SERVICE ya TOUAREG

Hiki kitabu kinakuonesha mambo muhimu ya kufanya na jinsi ya kufanya wakati unafanya service au ku maintain gari ya VW-TOUAREG, ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

SPECIAL FUNCTIONS (VW/AUDI/SKODA)

Kwenye gari za VW/AUDI au gari za VAG, ukitaka kufanya ujanja wa kama, adaptaion, programming..nk, Mara nyigi machine inakwambia uweke CHANNEL ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

Blaa blaa au vipengele vya usalama kwenye gari la AUDI

Of late, kuna so much features  kwenye gari za AUDI! Kwa mfano,  almost very Audi has an available suite of ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

VITABU LANDROVER (repair manual)

Hizi vitabu vinakusadidiya kwa kutengeneza aina za gari za LANDROVER kuhusu mechanics, wiring, service, ...nk jisi video inaonesha https://www.youtube.com/watch?v=65NWE1RfEHY ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

Kitabu-fundi RANGE ROVER (Baffude)

Hiiki ni kitabu au workshop /repair manual cha gari za LAND RANGEROVER  (zile kwanzia 2000). So kiko na ujanja wa ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

PAJERO-Pinin (kitabu)

Hiki ni kitabu (repair manual) ya PAJERO PININ ya mwaka 2001.  Kiko na mchoro za wire, mechanics, servicing...nk jinsi hii ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

VOLVO V70_V70R_XC70_XC90 Kitabu-wiring (2005)

Hiki kitabu cha VOLVO V70_V70R_XC70_XC900 kinaonesha mchoro za wiring kuhusu hizi aina za VOLVO.  Hiki kitabu cha VOLVO XC-90 kinaonesha tu SEATS, ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

TOYOTA TIGER (1KZ-TE)-wiring

Hiki ni kitabu chenye michoro au wiring ya TOYOTA TIGER (Hilux). Kinaonesha wiring, connectors...nk ya kila kwenye hii gari! ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

MAFUNZO (update) KUTOKA TOYOTA

Haya ni masomo ambao mara kwa mara kupuni zinatoa kwa mafundi wa kutengeneza gari zao. Sasa hii ni kuhusu umeme ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

Kuhusu ENGINE ya 4D-56

Hiki kitabu kinakumbusha au kujulisha kuhusu ujanja fulani wa kuweza ku deal na hizi wengine za 4D-56 ambao zinakutwa kwenye gari ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

FUEL SYSTEM CLEANING (tools & effects)

For a smooth, better performance, and or long lasting injectors...obviously to avoid a weak spray, injectors may need some special ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

FUEL SYSTEMS (presentation)

In this presentation we tried cover; Service fuel delivery system components Diagnose rich and lean air-fuel mixtures and their causes ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

WATER BOOST INJECTION IN COMBUSTION ENGINE (Bosch)

The main benefit of water injection lies in lowering combustion temperatures within the engine. Like in the current compact turbocharged ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

ujuzi/kupima CRANKSHAFT POSITION SENSOR

CRANKSHAFT POSITION SENSOR inakuanga pale kwenye flywhell ili iweze kupima mzunguko wa engine (au timing).Hii sensor ikiwa mbovu au wire zake ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

caliberate STEERING ANGLE SENSOR ukifanya wheel alignment

Kwasababu hii STEERING ANGEL SENSOR inaweza kubaki imeiga ile alignment mbovu ya miguu, so ukibadilisha kuweka sawa itahisi kuna shida ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

Mfumo mpya wa WIPERS kuosha kioo

Huu mfumo wa wiper ni kwamba wamepunguza uzito pamoja na kufanya maji kwenda tu sehemu ambao inahitajika tu bila kwenda ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

AIR CONDITION (A/C) system ya gari

Ile chemical au refrigrant au maji ya A/C inazunguka hivii; COMPRESSOR inaongeza pressure na kuisababisha kupata joto, CONDESSOR inapokea na ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

WHY DISK BRAKES USED AT FRONT & DRUM BRAKES AT REAR WHEELS

Kuna aina mbili za brake systems. DISC amabo mara nyigi zinawekwa mbele (front) au na nyuma, na zile za DRUM ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

Kuhusu CATALYTIC CONVETER (ya kwenye exhaust pipe)

CATALYTIC CONVETER ni lile dumu pana kwenye mdumu au pipe ya kupeleka upepo chafu kutoka kwenye engine ya gari.  Sasa ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

KUHUSU ACCELERATOR PEDAL POSITION SENSOR

Kwenye gari za kisasa hakuna tena ile rod ya chuma ambao ili connect pedal ya accelerator kwenye throttle body.  Siku ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

UJANJA WA KUBADILI LUGHA YA KWENYE INSTRUMENT CLUSTER

Kwenye AUDI au VW au SKODA, ukiwa na software VCDS pamoja na cable ya VAG, unaweza kufata hii maelekezo. SELECT ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

Jinsi meno ya steering yanavyo zunguka kufanya kazi

Hii video inaonesha au kukumbusha kuhusu mechanics ya pale kwenye joint ya steering wheel na rods za kwenda kwenye tayiri ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

maana ya CAN BUS

CAN BUS system  ni mfumo wa kutumia wire chache kuweza kwenye system ambao ingetumia wire nyingi. Jinsi video inaelekeza https://www.youtube.com/watch?v=ewn-VuPV0Cc ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

SOFTWARE KUMBUSHA JINSI YA KUPIMA SENSORS, ACTUATORS, CONTROL BOX…nk

Emotoka empya zona zikozesa computer, kati awo neziba enzibu okukozesa oba okukanika. kati kano ka software kakulanga engeri bwezikola oba ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

website ya EPC (Toyota)

www.toyodiy.com ukitaka kujua part number ya kwenye gari ya TOYOTA au ukiwa na part number unaweza kujua part zingine ambao ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi

DPF (emulator)

DPF ni "Diesel Particulate Filter" Tofauti na za petrol kutumia moto (spark), engine za diesel kuchoma mafuta ni kwa compression ...
....bonyeza hapa uone video na maelekezo zaidi