SOFTWARE KUMBUSHA JINSI YA KUPIMA SENSORS, ACTUATORS, CONTROL BOX…nk

Emotoka empya zona zikozesa computer, kati awo neziba enzibu okukozesa oba okukanika. kati kano ka software kakulanga engeri bwezikola oba okuzikanika.

   nyiga wano okudownloadinga omusomo gwazo.  Alafu hii video inaonesha jinsi ya kumitimisa hii program!

kati nga THROTTLE SENSOR bwekolall;lj;
ddfedgddgd

kati oba OXYGEN SENSOR d;d;d;d odlclclc

ekunyonyola OBD code etegeza ki
f;f;f;f


oba ABS SENSOR

bbcbccbcb

KUTAMBUA & KUTENGENEZA TATIZO KWENYE GARI YAKO MWENYEWE

Hii software imekusanya ma tatizo mengi au yote inaweza kutokea kwenye gari lako. So unaweka tu sign au symptom kwenye gari alafu inakuambia nini shida, jinsi ya kutatua na kuizuia isitokee tena! iko na video na picha! inafanya vizuri kwenye system za WINDOWS 7 kwenda chini!


Alafu hii video inaonesha matumizi na jinsi ya ku download

website ya EPC (BMW)

WWW.REALOEM.COM hata bila kuweka Chasis number inakupa mchora ya kila BMW pamoja na part number. Ukijua part number ni rahisi kupata spare zingine ambao zinaingiliana na hiyo spare unatafuta. Sema tu bora ukiwa na serial number ya hiyo BMW. Serial number ni zile digit saba (7) za mwisho kwenye chasisi au VIN. Kwa mfano, chasisis number 1VXBR12EXCP901213  inakuwa na serial number P901213! Jinsi tumejaribu kuelezea katika hii video! Kumbuka WWW.REALOEM.COM

website ya EPC (Toyota)

www.toyodiy.com ukitaka kujua part number ya kwenye gari ya TOYOTA au ukiwa na part number unaweza kujua part zingine ambao zinaingiriana. Kwa mfano unaweza kuwa unatafuta spare ya Landcruiser (bei kubwa) kumbe hiyo part ya bei kubwa inafanana na ya Corolla (bei ndogo).  Yule muuza spear anauza jina (Landcruiser) ndo maana anauza kwa bei kubwa! umewahi kujiuliza kwanini muuza spare anakwambia umpe chasisis number ya gari? Anyway, Ili uweze kumbuka aandika WWW.TOYODIY.COM yaaani nusu ya neno TOYOta alafu DIY (Do it Yourself)  HAPA UJANJA tu! Hii video inakuonesha!

DPF (emulator)

DPF ni “Diesel Particulate Filter”
Tofauti na za petrol kutumia moto (spark), engine za diesel kuchoma mafuta ni kwa compression so hazichomi mafuta vizuri so zinatoa moshi hatari (unburnt fuels). DPF inawekwa ili kuzuia moshi hatari usitoke kwenye exhaust pipe jinsi wanaelekeza kwenye hii video!

Hii DPF inakua kwenye exhaust pipe

DPF inasafisha upepo mbaya ya kutoka kwa engine hivi, jinsi inaoneshwa hapa kwenye hii video. 

wakati DPF inasafisha ule upepo mchafu, uchafu kuna jinsi unachomwa BONYEZA HAPA KUJUA JINSI (generation) ...lakini inafika wakati wa kwamba uchafu unazidi  uwezo wa DPF mpka taa  ya DPF inakumbusha kubadilisha au kusafisha hiyo DPF!
Taa ya kuonesha au kukumbusha kwa DPF inapaswa kusafishwa au kubadilisha

Hebu tazama hii video uone ndani ya DPF wakati imechoka na kupaswa kubadilisha kununua mpya

Kwasababu hii DPF iko na sensor nyingi au inawasiliana na control box (ECU) so huwezi kufungua tu kutoa DPF kwamba gari ibaki ya kawaida kama gari zingine


HAPA UJANJA ni kwamba unaweza kutoa hiyo DPF lakini lazima udanganye control box (ECU) ifikiri kwamba bado DPF ipo na inafanya kazi vizuri , otherwise ECU ikitambua kwamba DPF haipo, gari halitatembea na kuendelea kuasha tu taa ya DPF. Sasa kuna kifaa kinaitwa “DPF EMULATOR” cha kudanganya control box!

Sasa kwenye hii video ona jinsi walibomowa hii exhaust na kutoa hiyo DPF
Ama jinsi huyu alivyotoa tu DPF na kuweka tu pipe ya kawaida baada ya ku program au remap control box (ECU)

SO HAPA TUNATOA VIFAA NA MAELEKEZO JINSI KUTOA DPF  KULINGANA NA GARI ILI UPEWE DETAILS SAHIHI
 
UKITAFUTA NA KUKOSA AU KAMA HUTAKI KUSUMBULIWA TENA NA SYSTEM YA DPF KWENYE GARI TUWASILIANE
 

Hapa unaona inavyokuwa baada ya kufanya ujanja wa DPF kwenye gari

Video hii inaeleza zaidi kuhusu system DPF
Alafu hapa ni blaa blaa za shule kuhusu system ya DPF!