HAPA UJNAJA tu!

Toyota Land Cruiser 200 series Service Repair Workshop Manual

This manual is fully interactive, using your Web-browser to display the manual on your computer.  It is fully cross-referenced and a joy to use.  The detail is incredible, diagrams that are easy and clear to understand.   There are full diagrams and detailed information about every systemwithin the vehicle.  Fully detailed electrical wiring diagrams.  All fully linked […]

HAPA UJNAJA tu!

Toyota Yaris service repair manual 2007

This manual is fully interactive, using your Web-browser to display the manual on your computer.  It is fully cross-referenced and a joy to use.  The detail is incredible, diagrams that are easy and clear to understand.   There are full diagrams and detailed information about every systemwithin the vehicle.  Fully detailed electrical wiring diagrams.  All fully linked […]

HAPA UJNAJA tu!

COMMON RAIL SYSTEM (CRS)

Throughout the world, there is a desperate need to improve vehicle fuel economy for the purposes of preventing global warming and reducing exhaust gas emissions that affect human health. Diesel engine vehicles are highly acclaimed  due to the good fuel economy that diesel fuel offers. On the other hand, the “nitrogen oxides (NOx)” and “particulate […]

HAPA UJNAJA tu!

Interpreting OBD Codes

Diagnostic trouble codes (DTC), or OBD codes, are automotive computer codes stored by the on-board computer diagnostic system (OBD) in a vehicle. There are literally hundreds of different codes a Check Engine Light, ABS light, SUSPENSION light or etc light, can represent. While that sounds blaa blaa, a car diagnostics will give you  will give you […]

HAPA UJNAJA tu!

CAR RADIO UNLOCK CODE GENERATORS

Majority of car audio systems have anti-theft security code protection feature. Every time battery of the vehicle is disconnected or audio unit is removed, owner is prompted to enter security code in order to activate in-car audio system. Normally, security codes of vehicle audio systems are attached to the car related documents, owners manual or […]

HAPA UJNAJA tu!

TOYOTA LANDCRUISER 200series wiring (GRJ200, URJ200, URJ202, UZJ200, VDJ200 1GR-FE, 3UR-FE, 1UR-FE, 2UZ-FE, 1VD-FTV EM19U2E)

Electrical Wire Routing Wiring Diagrams (njia za wire) then Overall Electrical Wiring Diagram ya gari nzima kila system alafu Relay & fuse Locations then thorough expanded System Wiring Diagram! ELECTRICAL WIRE ROUTING   OVERALL ELECTRICAL WIRING DIAGRAMS RELAY & FUSE LOCATIONS   SYSTEMS EXPANDED WIRING DIAGRAMS & TROUBLESHOOTING Share on: WhatsApp

HAPA UJNAJA tu!

ENGLISH-salamu

“HELLO”  ni neno la fasta fasta kusalimia, almost mtu yeyote, wakati wote especially kama hauna uhakika kama ni saa za “Good morning” au “Good afternoon” au “Good evening” au blaa blaaa! kumbuka jinsi unatamuuka ni mhimu kuhusu maana ya “HELLO” yako jinsi tulijaribu kuelezea kwenye hii video!  Alafu, “Hi” ni ya kama ya utaani utaaani sana, so bora “HELLO”! […]

HAPA UJNAJA tu!

ENGLISH-mwanzo

Kuna aina ya KINGEREZA kama mbili hivi, BUSINESS ENGLISH amabao kinatumika wakati wa seriousness yaani kama ofisi ofisi hivi kwa watu maalum, pia kuna SOCIAL ENGLISH ambao ni kingereza cha mtaani mtaani hivi, yaani maneno fulani fulani inaelewekwa na aina ya watu fulani. But anyway, tutajaribu ku focus on BUSINESS ENGLISH na ‘ujanja’ wa ile […]

HAPA UJNAJA tu!

BMW N20-engine (Technical training)

The BMW N20 is a turbocharged straight-4 DOHC petrol engine which replaced the N52/N53!  Although the N20 is a straight-4, it is considered a replacement for the straight-6 N52/N53 because it powers equivalent models, producing similar horsepower to its naturally aspirated straight-6 predecessors with greater low-rpm torque and better efficiency! Share on: WhatsApp

HAPA UJNAJA tu!

BENZ-VITO/VIANO (Electrical System)

Hii ni kama training fulani but it’s upto repair manual level 1 Use of wiring diagrams 2 Abbreviations for wiring diagrams 3 Location and assignment of ground points 4 Location and assignment of plug connectors 5 Battery starting charging circuit 6 Voltage supply fuses 7 Fuse and relay board (SRB) 8 Signal Acquisition and actuation […]

HAPA UJNAJA tu!

AUTOMOTIVE SMART KEY SYSTEM (keyless entry)

Jinsi CERTIFICATION ECU inafanya OSCILATORS kuchokoza SMART KEY FOB iweze kusema Key code kupitia DOOR RF RECIEVER  ili CERTIFICATION ECU ichunguza kama ni funguo sahihi, then BODY ECU ifanye DOOR CONTROL module ifungue lock au la….as we tried kuoneshana katika hii video!!   Click here for   SMART KEY SYSTEM (Engine Immobilizer) Share on: WhatsApp

HAPA UJNAJA tu!

AUTOMOTIVE SMART KEY SYSTEM (part 0)

SMART KEY SYSTEMS inakuanga na atleast part mbili, ya immobilizer au security ya engine, NA  kufunga milago au tuseme kama faraja fulani hiiivi, kwa mfano mlago kufunguka au kufunga yenyewe, hata bila kubonyeza funguo….yaaani so much as we tried introduce katika hii video!   Bonyeza hapa for SMART KEY SYSTEM (Engine Immobilizer) Share on: WhatsApp

HAPA UJNAJA tu!

SMART KEY SYSTEM (Engine immobilizer)

Ukiweza kuingia kwenye gari, na kukanyaga BRAKE ili uweze ku start engine, BODY ECU inatambua kwa BRAKE PEDAL SENSOR alafu inamwambia CERTIFICATION ECU ikague kama kweli SMART KEY FOB (funguo) ulionayo ndo sahihi kuasha hii gari. Sasa, CERTIFICATION ECU inafanya OSCILATOR, yaani device fulani zinafanya signal ya kufanya SMART KEY FOB itamuke code ilionayo. SMART […]

HAPA UJNAJA tu!

SMART KEY SYSTEM (basic coding tips)

Hapa tulijaribu kukumbushana mana ya statement kama, o Additional key ID registration o Key ID erasure o All key ID erasure o New key ID registration,  Au ukibadilisha component ya SMART KEY SYSTEM, tuseme kama ID-code box au Certification Ecu au tuseme may be wakati funguo imepotea, unafanya niaje kuhusu zakina,  L-code, S-code, G-code, KEY-code, […]

HAPA UJNAJA tu!

Ujanja kuhusu DIODE

Hapa tumeweza kukumbushana kuhusu DIODE, yaani ile componet inakuwa kwenye circuirt ili kufanya umeme kwenda kwenye direction moja. Ok, tumejaribu kuoneshana jinsi inafanya kama ukuta ukuta hivi ili electrons zisiweza kugeuka, hata kama kutokea namna ya kubadilisha direction of flow!!! Share on: WhatsApp

HAPA UJNAJA tu!

msingi kuhusu IMMO OFF, EMULATION au SIMULATION

Gari fulani zenye immobiser system, kuna jinsi ya kuzifanya kusahau kuitisha funguo sahihi ili kwamba funguo yeyote inaweza kuiwasha engine. Au kuna jinsi ya kuzifanya kushau funguo yake kwamba funguo yeyote ya kwanza kuingizwa ndo itaendelea kuwa sahihi kama ile iliopotea. Anyway, we assume umepitia www.5021.tips/carkeyprograming kujua au kukumbuka zile basics za immobiliser system. Na […]

HAPA UJNAJA tu!

ACCELERATOR PEDAL POSITION SENSOR

Tumeona upepo umechunguzwa na AIR FLOW METER, sasa hii sensor inachunguza jinsi pedal ya mafuta (acceletaor) imekanyangwa, alafu inajulisha computer ya gari (ECU /CONTROL BOX) ili ijue jinsi throttle itafunguliwa ….so BONYEZA HAPA upate umbea zaidi kuhusu ACCLERATOR PEDAL POSITION SENSOR  yaaani, link ya ACCELERATOR POSITION SENSOR ni www.5021.tips/acceleratorpedalsensor Share on: WhatsApp

HAPA UJNAJA tu!

ujanja wa MASS AIR FLOW METER

AIR FLOW METER inaweza kuwa na MASS AIR FLOW SENSOR & INTAKE AIR TEMPERATURE SENSOR. Kwa ufupi hizi sensor zinachunguza kuhusu upepo unapo ingia kwenye gairi ili kuweza kuchanganyika (combustion) na mafuta ili engine ifanye kazi. So hii sensor inapima uzito (mass) pamoja na ujoto (temperature) ya upepo na kuambia control box (ECU) ili ijue […]

HAPA UJNAJA tu!

Kuhusu ENGINE MANAGEMENT SYSTEM (gari)

Kwa kutaka kufanya gari ziwe na NGUVU (power) zaidi, kwa kutmia MAFUTA na bila kutoa UPEPO MBAYA (emissions control) waligunduwa ujanja wa ENGINE MANAGEMENT SYSTEM…yaaani kutumia sensors, computer (control box) na actuators kuweza kuchungunza upepo, mafuta…nk ambao ni mhimu wa engine kufanya kazi….jinsi tuemjaribu kuelekeza kwenye hii video!  So tutajaribu kuoneshana jinsi upepo unavotoka nje […]

HAPA UJNAJA tu!

EPC-landrover (kujua part-numbers)

Hizi tovuti kama WWW.LRPARTS.RU ni Online Parts Catalog, kuonesha sehemu hiyo part iliko kwenye gari, alafu part number ili pia uweze kujua part zingine ambao zinaingiliana au kufanana kazi na hiyo part. Kwa mfano kuna part za DEFENDER ambao zinaweza kufany kwenye DISCOVERY 4…nk, jinsi hii video imejaribu kukukmbusha! Share on: WhatsApp

HAPA UJNAJA tu!

OTODATA

Hii software, AUTODATA inakusaidiya kumbuka wiring, mechanics au njia za kutengeneza gari fulani. Inafanya kwenye computer au laptop tu (hapana kufanya kwenye simu) Baada ya ku DOWNLOAD hya ni maelekezo y kufany aniaje Share on: WhatsApp

HAPA UJNAJA tu!

TRANSMISSION FUNDAMETALS-BMW

On wasting some of your time with/on this module you will be able to: • Recognize automatic transmission advantages. • Identify BMW Automatic Transmissions. • Understand Basic Transmission Hydraulics. • Understand Transmission Fluid Application. • Understand the Operation of Multi Plate Clutches and Brakes. • Understand Torque Converter Operation. • Understand Basic Planetary Gear Sets […]

HAPA UJNAJA tu!

Kitabu fundi NISSAN FRONTIER -D22

Hiki kitabu full board cha NISSAN FRONTIER zile za D22 (kama hardbody, Navara-fulani) kiko na kila kitu, wiring, mechanics, service, body works…..nk! so tunaanza na GENERAL INFORMATION SERVICE au KAZI ZA MARA KWA MARA ku maintain gari ENGINE MECHANICAL SYSTEM y’OIL & KUPOZA ENGINE ENGINE CONTROL (sensor, actuators z’ENGINE) ACCELATOR & FUEL CONTROL CLUTCH MANUAL […]

HAPA UJNAJA tu!

UJANJA w’IMMOBILISER (Mazda)

Hii ni maelekezo au ujuzi  fulani ya kuhusu immobiliser au system ya funguo ya gari za MAZDA. Utakumbuka kuhusu PATS (Passive Anti-Theft System) na aina zake, blaa blaa za instrument cluster kuhusu security code unaipata vipi na wapi….yaaani, everyt almost everything ….nk!  JUST CLICK HERE:  www.5021.tips/mazdaimmo Share on:

HAPA UJNAJA tu!

MAFUNZO (update) KUTOKA TOYOTA

Haya ni masomo ambao mara kwa mara kupuni zinatoa kwa mafundi wa kutengeneza gari zao. Sasa hii ni kuhusu umeme wa gari za TOYOTA lakini ujanja unatumika kwenye gari zingine! a)ELECTRICAL FUNDAMENTALS b)ELECTRICAL CIRCUITS c)ELECTRICAL COMPONETS d)ANALOG vs DIGITAL METERS e)WIRE TERMINAL & CONNECTOR REPAIRS f)BATTERIES g)STARTING SYSTEMSS h)CHARGING SYSTEMS i)DIAGNOSTIC TOOLS j)RESISTOR-fulani k)UJANJA w’TRANSISTOR […]

HAPA UJNAJA tu!

UJANJA w’KEY PROGRAMMING-part 1

Kuna PIN au code maalum inawekwa kwenye funguo ili iweze kuasha gari maalum ambao pia tayari iko na hiyo PIN au code maalum ya kwenye hiyo funguo. So funguo ingine ambao iko code tofauti haiwezi kuasha hii gari. So ndo maana funguo ikipotea, ujanja ni kwamba usome hiyo code maalum ilipo kwenye gari alafu uitumbukize […]

HAPA UJNAJA tu!

website ya STAR FINDER (benz)

Popote ulipo hata kwenye simu bonyeza>>> benz.5021.tips <<< yaani kwenye browser aandika neno BENZ (weka dot) 5021 (weka dot) TIPS uweze kupata software ya STAR FINDER …yaaani, wiring diagrams, kujua sensor ziko wapi kwenye gari ya benz…nk! Kwenye hii video tumejaribu kuonesha! Share on: WhatsApp