RENAULT (Radio code calculator)

Jinsi hii video inaelekeza wapi pa kupata serial number ili kuweza ku ka calculate kupata code ya kufungua radio iliokuwa imejifunga!  


ujuzi/kupima CRANKSHAFT POSITION SENSOR

CRANKSHAFT POSITION SENSOR inakuanga pale kwenye flywhell ili iweze kupima mzunguko wa engine (au timing).Hii sensor ikiwa mbovu au wire zake kukatika inasababisha gari kukata kuwaka. Jinsi hii video inaonesha, CKP sensor inatumia blaa blaa ya “hall effect” ili kufanya hii kazi. Hii sensor ni kama magnet (electro magnet) ya kwamba umeme unailtea magnetism. Anyway, umeme ikikutana na magnet inasumbuliwa fulani. So control boxi inapeleka umeme kwenye hii sensor, sasa yale meno kwenye flywheel wakipitaa kwenye hii sensor yansababisha magnetism fulani ambao inasumbua umeme unatoka kwenye control box (computer) na hapo ndo control boxi itaweza kutambua mzunguko wa engine. So kupima hii sensor ni rahisi, kwanza pima uone kama unapata kitu 5v na -5v kwenye socket inaleta umeme kutoka kwa control boxi, alafu jaribu kupima hata resistance ya hii sensor kwa kuzungusha engine na may be spanner (usiaanzishe engine), uone kama resistance inabadilika. AU na diagnostic machine yako kama upate code ya CKP jaribu kusoma real time data ya RPM (mzunguko wa engine) ….alafu conclude!

KUINGIA INTANET YA WAJANJA (Dark web)

Kuna aina ya intanet tatu, SURFACE WEB, DEEP WEB, DARK WEB!

Vitu vya kawaida ambao hata search engine, kama google au yandex au yahoo, inakuletea ni vile vitu kwenye SURFACE WEB, yaani intanet ya kawaida kama, facebook, wikipedia, blogs…nk 

Vile vitu kwamba hata uki google hauwezi kupata results, kama jinsi ya ku login kwenye account yako ya benki, website fulani za serikali, email ambo watu wanawasiliana nazo…nk, vinawekwa kwenye DEEP WEB.

Vile vitu kwamba hata uki google hauwezi kupata results, kama jinsi ya kupata pesa bandia, dawa za kulevia, card zenye pesa ambao imeibwa, vitambulisho sahihi lakini za bandia, video za uchagundoa wenye watu unafahamu…nk  vinawekwa kwenye DARK WEB yenye link za .onion!  

So hii video inakuonesha jinsi ya kuingia kwenye DEEP-DARK WEB

Browser ya kawaida haiwezi kuingia, so nenda WWW.TORPROJECT.ORG uweze ku download browser ya wajanja. Alafu baada ya ku download tembelea link kama, WWW.DEEPWEBLINKS.ORG   au WWW.THEHIDDENWIKI.ORG uweze kupata mwanzilishi au na link zingine!  So hii video inakuonesha jinsi ya kuingia kwenye DEEP DARK WEB

FLIGHTS TRACKER

Hii www.FLIGHTRADAR24.com inakuonesha au kujua kinachoendelea kwenye uwanja wa ndege (airport) ya nchi yeyote duniani. unaweza kuona ndege gani inakuja au imetoka au ile bado ipo au njia itapitia. Hii ni kupanua tu kichwa (knowlege) au ukiwa na matumizi mengine ni sawa! Hii video inakupa mfano wa kazi ya hii tovuti.

SOFTWARE KUMBUSHA JINSI YA KUPIMA SENSORS, ACTUATORS, CONTROL BOX…nk

Emotoka empya zona zikozesa computer, kati awo neziba enzibu okukozesa oba okukanika. kati kano ka software kakulanga engeri bwezikola oba okuzikanika.

   nyiga wano okudownloadinga omusomo gwazo.  Alafu hii video inaonesha jinsi ya kumitimisa hii program!

kati nga THROTTLE SENSOR bwekolall;lj;
ddfedgddgd

kati oba OXYGEN SENSOR d;d;d;d odlclclc

ekunyonyola OBD code etegeza ki
f;f;f;f


oba ABS SENSOR

bbcbccbcb

UJANJA WA VPN KWENYE OPERA BROWSER

VPN ni Virtual Private Network ambao inakupa utambulisho wa kuoneka kwenye mtandao kama uko nchi ingine tofauti na nchi ulipo! Kwa mfano, ukiwa BURUNDI huu ujanja wa VPN unaweza kufanya uonekane kama uko KENYA! Kwenye hii video tumejaribu kuonehsa jinsi ya kuweka VPN kwenye browser ya Opera!   go MENU then SETTINGS  go PRIVACY & SECURITY then TICK enable VPN …alafu enjoy!!

website ya EPC (BMW)

WWW.REALOEM.COM hata bila kuweka Chasis number inakupa mchora ya kila BMW pamoja na part number. Ukijua part number ni rahisi kupata spare zingine ambao zinaingiliana na hiyo spare unatafuta. Sema tu bora ukiwa na serial number ya hiyo BMW. Serial number ni zile digit saba (7) za mwisho kwenye chasisi au VIN. Kwa mfano, chasisis number 1VXBR12EXCP901213  inakuwa na serial number P901213! Jinsi tumejaribu kuelezea katika hii video! Kumbuka WWW.REALOEM.COM

website ya EPC (Toyota)

www.toyodiy.com ukitaka kujua part number ya kwenye gari ya TOYOTA au ukiwa na part number unaweza kujua part zingine ambao zinaingiriana. Kwa mfano unaweza kuwa unatafuta spare ya Landcruiser (bei kubwa) kumbe hiyo part ya bei kubwa inafanana na ya Corolla (bei ndogo).  Yule muuza spear anauza jina (Landcruiser) ndo maana anauza kwa bei kubwa! umewahi kujiuliza kwanini muuza spare anakwambia umpe chasisis number ya gari? Anyway, Ili uweze kumbuka aandika WWW.TOYODIY.COM yaaani nusu ya neno TOYOta alafu DIY (Do it Yourself)  HAPA UJANJA tu! Hii video inakuonesha!