tovuti za muhimu

ujuzi/kupima CRANKSHAFT POSITION SENSOR

CRANKSHAFT POSITION SENSOR┬áinakuanga pale kwenye flywhell ili iweze kupima mzunguko wa engine (au timing).Hii sensor ikiwa mbovu au wire zake kukatika inasababisha gari kukata kuwaka. Jinsi hii video inaonesha, CKP sensor inatumia blaa blaa ya “hall effect” ili kufanya hii kazi. Hii sensor ni kama magnet (electro magnet) ya kwamba umeme unailtea magnetism. Anyway, umeme ikikutana na magnet inasumbuliwa fulani. So control boxi inapeleka umeme kwenye hii sensor, sasa yale meno kwenye flywheel wakipitaa kwenye hii sensor yansababisha magnetism fulani ambao inasumbua umeme unatoka kwenye control box (computer) na hapo ndo control boxi itaweza kutambua mzunguko wa engine. So kupima hii sensor ni rahisi, kwanza pima uone kama unapata kitu 5v na -5v kwenye socket inaleta umeme kutoka kwa control boxi, alafu jaribu kupima hata resistance ya hii sensor kwa kuzungusha engine na may be spanner (usiaanzishe engine), uone kama resistance inabadilika. AU na diagnostic machine yako kama upate code ya CKP jaribu kusoma real time data ya RPM (mzunguko wa engine) ….alafu conclude!