AUTOMOTIVE (magari)

1-MAANA YA TAA ZA KWENYE INSTRUMENT CLUSTER

Hii video ni moja yakwa zile za kukumbusha maana ya taa kwenye instrument cluster, ukumbuke taa fulani ikiwaaka shida ni nini kwenye gari au wapi pa kukaguwa! Taa ni nyingi ili tu kusichanganya  au uweze kumbuka, tumejaribu kkkumbusa kuhusu taa nn4 (4) tu katika hii video! Otherwise hii tovuti WWW.DASHBOARDSYMBOLS.COM inaweza kuwa muhimu!