AUTOMOTIVE (magari)

jinsi mfumo wa DISC BRAKES unafanya kazi

Mfumo DISC BRAKE una uwezo au nguvu bora kusimamisha gari, uwezo wa kupoza ujoto au better cooling capacity! Alafu huu mfumo wa hizi brake za disc zinajitengeneza zenyewe kabisa. Na mara nyigi zinawekwa kwa miguu ya mbele kwenye gari.