LEXUS 350 (kitabu cha fundi)

Hiki kitabu au service repairs manual ya LEXUS 350 iko na mchoro na procedures za wiring, mechanics, service na kila unachohitaji ku deal na aina ya hii gari! Share on: WhatsApp

code ya NATS (Nissan Anti-Theft System)

Hii software inaweza kusaidia wakati ku program transponder keys to a wide range of Nissan na Infiniti vehicles. So kamwe kutemea dealer au mtalaamu juu na wewe unaweza kuweka hii code kwa kutumia aina ya mashine yeyeote!    Yaani, unahitahi>> Date code, the Encrypted Pin na Origin of the Immobilizer system. Hizi details can be found […]

BENSTARINDER

Hii software iko kwa  ISO format so either burn tu kwenye DVD au bonyeza hapa kupata software ya kusoma iso files Hii ni STAR FINDER inaonesha wiring na wapi sensor zilipo kwenye gari BENZI inavyo onesha kwenye hii video   Au hata kwenye hii video  Share on: WhatsApp

OBD CONTROL SYSTEMS

Emotoka empya zona zikozesa computer, kati awo neziba enzibu okukozesa oba okukanika. kati kano ka software kakulanga engeri bwezikola oba okuzikanika.  nyiga wano okudownloadinga omusomo gwazo. Hii video inaonesha jinsi ya kumitimisa hii program1 kati nga THROTTLE SENSOR bwekola   kati oba OXYGEN SENSOR    ekunyonyola OBD code etegeza ki oba ABS SENSOR Share on: […]

RESISTOR COLOR CODE

Hii ni kusaidiya ku caliculate maana au thamani au valu ya rangi kwenye reistor, download so u install kwenye laptop au Pc yako  lakini ukitaka ku caliculate mtandaoni tembelea au bonyeza www.resistorguide.com/resistor-color-code-calculator/   Hii video inaonesha jinsi inafanya kazi Share on: WhatsApp

LAND & RANGE ROVER MANUALS

hizi manual ni za landrover ziko na kila kitu kuhusu landrovers…kama wiring diagrams, picha ….infact jinsi hii video inaonesha Share on: WhatsApp

Ujanja w’ku UNLOCK RADIO

Radio ya TOYOTA ikijifunga especially baada ya kutoa na kurudisha battery, hii software inakusadia kuifungua jinsi tumejaribu kuonesha na kuelekeza kwenye hii video! Share on:

Jeep-Troubleshooting-Using-AutoTech

Hii software inakuonesha jinsi ya kutengeneza gari lako mwenyewe bila kutegemea fundi. Unaandika tu shida kwenye gari alafu inakwambia chakufanya. kila gari ipo….jinsi inavyo elezewa kwenye hii video na JEEP Share on: WhatsApp

SOFTWARE WA KUSOMA & KUCHOMA CDfiles (ISO)

Bonyeza www.wikipedia.org/wiki/ISO_image kusoma kuhusu .iso files. sasa hii ni software ya kufungua iso files. password ya hii software iko ndani  so hii software si demo.   >> Name: KhocViEm  Serial: 3AD1-DF93-1C56-FB96  << Hii video inakuonesha jinsi ku install hiii software Share on: WhatsApp

HILUX MANUALS

Hiki ni kitabu AU manual ya gari la HILUX kila kitu kipo , wiring diagrams, sensor ziko wapi…nk   baada ya ku download choma hii software kwenye CD au bonyeza HAPA upate software ya kusoma file za ISO au jaribu njia yeyote ya ku unzip hii file  jinsi tueherekeza kwenye hii video Share on: WhatsApp