HILUX MANUALS


hiki ni kitabu AU manual ya gari la HILUX kila kitu kipo , wiring diagrams, sensor ziko wapi...nk   baada ya ku download choma hii software kwenye CD au bonyeza HAPA upate software ya kusoma file za ISO au jaribu njia yeyote ya ku unzip hii file  jinsi tueherekeza kwenye hii video