AUTOMOTIVE (magari)

DPF (emulator)

DPF ni “Diesel Particulate Filter”
Tofauti na za petrol kutumia moto (spark), engine za diesel kuchoma mafuta ni kwa compression so hazichomi mafuta vizuri so zinatoa moshi hatari (unburnt fuels). DPF inawekwa ili kuzuia moshi hatari usitoke kwenye exhaust pipe jinsi wanaelekeza kwenye hii video!

Hii DPF inakua kwenye exhaust pipe

DPF inasafisha upepo mbaya ya kutoka kwa engine hivi, jinsi inaoneshwa hapa kwenye hii video. 

wakati DPF inasafisha ule upepo mchafu, uchafu kuna jinsi unachomwa BONYEZA HAPA KUJUA JINSI (generation) ...lakini inafika wakati wa kwamba uchafu unazidi  uwezo wa DPF mpka taa  ya DPF inakumbusha kubadilisha au kusafisha hiyo DPF!
Taa ya kuonesha au kukumbusha kwa DPF inapaswa kusafishwa au kubadilisha

Hebu tazama hii video uone ndani ya DPF wakati imechoka na kupaswa kubadilisha kununua mpya

Kwasababu hii DPF iko na sensor nyingi au inawasiliana na control box (ECU) so huwezi kufungua tu kutoa DPF kwamba gari ibaki ya kawaida kama gari zingine


HAPA UJANJA ni kwamba unaweza kutoa hiyo DPF lakini lazima udanganye control box (ECU) ifikiri kwamba bado DPF ipo na inafanya kazi vizuri , otherwise ECU ikitambua kwamba DPF haipo, gari halitatembea na kuendelea kuasha tu taa ya DPF. Sasa kuna kifaa kinaitwa “DPF EMULATOR” cha kudanganya control box!

Sasa kwenye hii video ona jinsi walibomowa hii exhaust na kutoa hiyo DPF
Ama jinsi huyu alivyotoa tu DPF na kuweka tu pipe ya kawaida baada ya ku program au remap control box (ECU)

SO HAPA TUNATOA VIFAA NA MAELEKEZO JINSI KUTOA DPF  KULINGANA NA GARI ILI UPEWE DETAILS SAHIHI
 
UKITAFUTA NA KUKOSA AU KAMA HUTAKI KUSUMBULIWA TENA NA SYSTEM YA DPF KWENYE GARI TUWASILIANE
 

Hapa unaona inavyokuwa baada ya kufanya ujanja wa DPF kwenye gari

Video hii inaeleza zaidi kuhusu system DPF
Alafu hapa ni blaa blaa za shule kuhusu system ya DPF!