AUTOMOTIVE (magari) technical terms

Maana/kazi y’ECU (control box)

ECU inamanisha ECLECTRONIC CONTROL UNIT, iwe ya Engine, gear box, Airbag…nk…inaitwa ECU. So mpaka utaje ECU maalum, Gearbox ECU, Airbag ECU…nk! Anyway, ECU ni computer au ni kama akili ya gari, lakini ECU haiwezi kufiri kufanya kazi tofauti na ile ilioambiwa (programmed) kufanya. So hii video imejaribu kukumbusha maana au kazi ya ECU (control boxi)!