HAPA UJNAJA tu!

EGR (Exhaust Gas Recirculation)

System ya EGR (Exhaust Gas Recirculation)  inafanya moshi wa exhaust kuzunguka kuungana upepo safi unaongia kutoka nje ya gari ili kuuchafua kidogo kwamba baada ya kuchomwa pamoja na mafuta, temperatura ziwe za chini