UJANJA w’ELECTRONICS-intro

Hii ni introduction kuhusu electonics, so tumejaribu kuelezea kuhusu maana ya umeme, kwanini componets za umeme, kama resistor, capacitor…nk zinawekwa kwenye electronics. Umeme inaanza vipi kufanya kazi hivi. Like how this video is trying show!    LAKINI KWENYE MASOMO YANAYOFATA, BAADA YA HILI, MAKE SURE UKO NA MULTIMETER YA KUPIMA UMEME ILI UFANYE PRACTICE WAKATI TUNAKUMBUSHANA UJANJA!

SWALI LA SOMO HILI (Baada ya kujibu, tutakuwezesha somo linalofata!)


NEXT ni kuhusu VOLTAGE & CURRENT uone ujanja wa Volts & Amps
Make sure uko LOGIN DETAILS au bonyeza hapa upate buuuure kabisa