UMEME

UJANJA w’ELECTRONICS-Volts & Amps

Hapa tunajaribu kuonesha ile nguvu ya kutemebeza zile free electrons ili ziende kuweza kufanya kazi. Utaona kwamba ile nguvu ni ELECTROMOTIVE FORCE (EMF) au VOLTAGE (kwenye Volts) alafu hesabu ya zile electrons ni CURRENT (kwenye Amps).