AUTOMOTIVE (magari)

mfumo wa KULAINISHA engine (Engine Lubrication system)

Unaangalia jinsi oil inapanda kutoka kwenye sump (ile ndoo chini kwenye engine) kwenda popote inatakiwa kulainisha parts parts za engine ambao zina move (engine moving parts)