HAPA UJNAJA tu!

ujanja wa EPROM (IC/chip) -kuweza kuprogram funguo /control box

Kuweza kutengeneza funguo au kuchezea control box (ECU), kwanza unapaswa kujua kusoma & ku write data kwenye IC au CHIP au EPROM, Alafu baada ya kupata hii data, ku edit ni rahisi ilimuradi uko na ujuzi wa ni ni au wapi wa edit (kubadilisha). Sasa hii video inajaribu kukumbusha jinsi data zinakuwa kwenye EEPROM au IC, kukumbusha wapi editing inafanywa ya kwamba ukiweza kusoma data kazi za mapping au programming zinakuwa rahisi!