HAPA UJNAJA tu!

Evaporative Emission Control System (EVAP)

Mfumo huu unatumika kuzuia yale mafuta yanaobadilika kuwa upepo ili yasiende, yaani yasitoroke kwenda kuharibu mazingira. So hii system kama tulivyojaribu kuelezea katika hii video, iko na FUEL TANK PESSURE SENSOR, CANISTER PURGE VALVE, CANISTER VENT VALVE, pamoja na kufanya kazi jinsi tulijaribu kuelezea katika hii video!