tovuti za muhimu

FLIGHTS TRACKER

Hii www.FLIGHTRADAR24.com inakuonesha au kujua kinachoendelea kwenye uwanja wa ndege (airport) ya nchi yeyote duniani. unaweza kuona ndege gani inakuja au imetoka au ile bado ipo au njia itapitia. Hii ni kupanua tu kichwa (knowlege) au ukiwa na matumizi mengine ni sawa! Hii video inakupa mfano wa kazi ya hii tovuti.