HAPA UJNAJA tu!

FUEL PUMP ASSEMBLY (Filter, pump, fuel level sensor)

FUEL PUMP ASSEMBLY iko na Filter ya kusafisha mafuta, , pump ya kusukuma hayo mafuta, alafu na  fuel level sensor ya kujulisha computer kiasi cha mafuta kiliopo!