HAPA UJNAJA tu!

FUEL TANK PRESSURE SENSOR

Hii sensor ya FUEL TANK PRESSURE  inachunguza kuona kama hakuna upepo wa mafuta (fuel vapors) ambao zinatoroka kwenye inje.  Hii sensor, kulingana gari, inashugulika na EVEAP system kuweza kutimiza kazi zake….jinsi hii video imejaribu kuonesha!