HAPA UJNAJA tu!

RANGEROVER (L322)-Kitabu cha fundi

Hiki kitabu au service repairs manual ya (landrover) RANGE ROVER-L322 iko na mchoro na procedures za wiring, mechanics, service na kila unachohitaji ku deal na aina ya hii gari!