GOOGLE GOOGLE

UJANJA WA KUFUNGUA ACCOUNT YA GOOGLE (gmail)

Hii account moja ya gmail au barua pepe ya google inakuezesha kuingia au kutumia products zote za google. Bonyeza www.5021.tips/allgoogle au www.google.com/about/products uone aina za products au bidha za google (google’s services & products) kama:    maps, blogger, email, disk, videos…nk.
Kungua unaeza fata hii:
– Tembelea www.gmail.com AU accounts.google.com au google kuhusu gmail alafu ubonyeza matokeo ya kwanza.
– Chagua CREATE NEW alafu ujazi unavyoulizwa alafu ukaseme next….au unaweza kufata jinsi tumejaribu kuelekeza katika hii video.