google kama ALARM CLOCK (saa kupiga kengele)

Kwenye search bar ya google, weka neno TIMER alafu search upate alarm clock ili uingize muda wowote unataka jinsi hii video imejaribu kuonesha