UJANJA WA KWENYE GOOGLE

KWANZA BONYEZA HAPA UWEZE KUFAHAMU SHUGULI ZOTE ZA GOOGLE

UJANJA WA KUFUNGUA ACCOUNT YA GOOGLE (gmail)

Hii account moja ya gmail au barua pepe ya google inakuezesha kuingia au kutumia products zote za google. Bonyeza www.5021.tips/allgoogle ...
Read More

KUJUA BEI ZA NAULI YA NDEGE (google flights)

Chakufanya aandika au search neno google flights alafu chagua search results ya kwanza. Au kama unaweza kumbuka tovuti moj kwa ...
Read More

140+ Google Services & Tools You Should Know

Mention Google products and you’d probably think of Google Search, Gmail, Chrome, YouTube or Android but there are actually more than a ...
Read More

Ujanja kupata tu PICHA au VIDEO kwenye google

Ukiweka neno ya ku search, chagua tu picha au video!  Au ukitaka picha tu nenda images.google.com  alafu nenda video.google.com kwa ...
Read More

UJANJA WA KUJIFUNZA LUGHA YEYOTE MWENYEWE

Huu ujanja ni wa kutumia software au tovuti za kutafsiri lugha mbali mbali.  So ukiweza kutafsiri neno kwa neno ina ...
Read More

google kama ALARM CLOCK (saa kupiga kengele)

Kwenye search bar ya google, weka neno TIMER alafu search upate alarm clock ili uingize muda wowote unataka jinsi hii ...
Read More

google kama KAMUSI kufananua maneno

Ukitaka google ikusaidiye kufananua neno, jaribu kuandika DEFINE: alafu unadike hiyo neno ambao unataka kufahamu jinsi hii video imejaribu kuonesha  ...
Read More