Ujanja kupata tu PICHA au VIDEO kwenye google

Ukiweka neno ya ku search, chagua tu picha au video!  Au ukitaka picha tu nenda images.google.com  alafu nenda video.google.com kwa kupta tu video.  Otherwise unaweza kujaribu kufata jinsi temeelezea kwenye hii video.