HAPA UJNAJA tu!

HONDA KEY PROGRAMMING (mfano wa Accord)

Hapa kwa kutumisa SBB kama machine yeyote unaweza kupata, tuliaanza na kufuta zile funguo ziliopotea kutoka kwenye memory ili kuwe nafasi ya kusajili hizi mpya. But tulihakikisha kwamba Transponder ID ni ile inapaswa kuasha hili aina ya gari ya HONDA like how this video is showing!