HUMMER

TOYOTA HILUX (Service Repair manual)

Including all electrical wiring diagrams, with all service & repair procedures. Showing different component locations & functions. Explaining how all ...
Read More

LANDCRUISER 150 (service/repair manual)

Hiki kitabu kiko na kwanzia wiring diagrams, whole car's component locations + troubleshooting procedures...nk! ...
Read More

EGR (Exhaust Gas Recirculation)

System ya EGR (Exhaust Gas Recirculation)  inafanya moshi wa exhaust kuzunguka kuungana upepo safi unaongia kutoka nje ya gari ili ...
Read More

IDLE AIR CONTROL SYSTEM

IDLE AIR CONTROL SYSTEM inasaidiya engine kwendelea kupata upepo, hata throttle ikiwa closed kwamba hakuna upepo unaipita kufika kwa engine! ...
Read More

CRANKSHAFT & CAMSHAFT SENSORS

CRANKSHAFT sensor inachunguza movement ya CRANKSHAFT ili computer ijuwe timing za cylinder. CAMSHAFT nayo inachunguza CAMSHAFT ili kuthibitisha movment ya ...
Read More

TEST SENSORS & ACTUATORS tips

Ku troubleshoot sensors inakuwa rahisi mno ukifahamu sensor  INAKA WAPI, KWENYE SYSTEMS GANI, INAFANYA KAZI GANI, INAWEZAJE KUFANYA HIYO KAZI.......INAPIMWAJE ...
Read More

FUEL PUMP ASSEMBLY (Filter, pump, fuel level sensor)

FUEL PUMP ASSEMBLY iko na Filter ya kusafisha mafuta, , pump ya kusukuma hayo mafuta, alafu na  fuel level sensor ...
Read More

VIRTUAL MACHINE

Hii software inakusaidia ukitaka kuweka aina ya operating system nyingi kwenye computer moja bila ku partion au ku blaaaaa blaaaa ...
Read More

TOYOTA RAV4-SECURITY SYSTEM

Include RAV4, ACA20 ACA 22/23, ACA 33, SXA 10-11 ...
Read More