HAPA UJNAJA tu!

msingi kuhusu IMMO OFF, EMULATION au SIMULATION

Gari fulani zenye immobiser system, kuna jinsi ya kuzifanya kusahau kuitisha funguo sahihi ili kwamba funguo yeyote inaweza kuiwasha engine. Au kuna jinsi ya kuzifanya kushau funguo yake kwamba funguo yeyote ya kwanza kuingizwa ndo itaendelea kuwa sahihi kama ile iliopotea. Anyway, we assume umepitia www.5021.tips/carkeyprograming kujua au kukumbuka zile basics za immobiliser system. Na tena umefunguka na www.5021.tips/epromdata  ili ujue au ukumbuke kuhusu EEPROM work maaana kazi nyigi ni za kuchezea EEPROM data!