UJANJA w’IMMOBILISER (Mazda)

Hii ni maelezo fulani ya kuhusu immobiliser au system ya funguo ya gari za MAZDA. Utakumbuka kuhusu PATS (Passive Anti-Theft System) na aina zake, blaa blaa za instrument cluster kuhusu security ya gari, nini cha kufanya kwenye immobiliser box au Control box…..nk