Jinsi meno ya steering yanavyo zunguka kufanya kazi

Hii video inaonesha au kukumbusha kuhusu mechanics ya pale kwenye joint ya steering wheel na rods za kwenda kwenye tayiri …yaani kuhusu rack and pinion gears