AUTOMOTIVE (magari) technical terms

Jinsi TURBO ya kwenye gari inafanya kazi

Sana sana engine za diesel zinategemea mafuta na upepo (bila moto wa spark plug) na tena kuna wakati unafika wakati upepo unaoingia kwenye engine unapunguwa na kusababisha engine kufanya kazi haijakamilika! Kwahiyo hii TURBO inafanya kurudisha upepo wa exhaust, yaani ule unaotoka kwa exhaust, urudi ufanye kazi kama ule upepo wa kawaida unaotoka inje ya gari!