AUTOMOTIVE (magari) technical terms

Kuhusu CATALYTIC CONVETER (ya kwenye exhaust pipe)

CATALYTIC CONVETER ni lile dumu pana kwenye mdumu au pipe ya kupeleka upepo chafu kutoka kwenye engine ya gari.  Sasa wakati engine inachoma mafuta na upepo (combustion), kuna mafuta amabao inachoma vibaya …yaaani ni kama wakati unatengeneza ile sigiri ya makaa ya kupika cha kula, ule upepo unaotoka kwanza ni hatari ukikuiingia tumboni…yaaani hii CATALYTIC CONVTER inabailisha upepo ubaya kuwa mzuri yaani oxidising dangerous Carbon monoxide gas into carbondioxide. …Au jaribu ku angalia hii video uone jinsi hii CATALYTIC CONVETER inavofany kazi. ONYO:- Hii CATALYTIC CONVETER iko na sensor, so ukiitoa kuweka pipe ya kawaida gari itapata shida!