KUHUSU SISI (5021 EASTAFRICA)

-Tunadhani hujui chochote….SO,  tukiweka mambo ambao unajua, usikonde kwasababu kuna mwenzako hajui. toa ushauri lakini si kero

-Tunajaribu kutumia lugha, si standard, lakini inaeleweka kwa watu wengi hapa EAST AFRICA (tunadhani mtu wa EAC anapaswa kujua kiswahili kidogo, hata kama tutatumia na lugha nyingine kama, LUGANDA, KINYARWANDA, LINGALA, FRENCH!

-Hapa, si biashara. tunagawana tu ujuzi. hata kama ni ujanja wa  bure, lakini ni sahihi!!!  ukiona uongo au si sahihi , unaweza toa ushauri au toa kero wazi, vinginevyo unaweza kusitaki (report) kwa, KAGAME au UHURU au MAGUFULI au MUSEVENI au NKURUNZIZA au popote!

mmm,,,