COMPUTERS EXTRA UJANJA

Kuhusu COMPUTER NETWORKING-1

Make sure unajua au unakumbuka kuhusu MAC-address vs IP-address!  Hub vs Switch vs Router! Network media jinsi data au information ina move  for example fiber, RJ45 cable, wireless…nk! Ili uone jinsi hizi vifaa vinawezesha ku connect computer ziwasiliane. Kwenye hii video tulijaribu kutaaja hizi zote.