AUTOMOTIVE (magari)

KUPIMA CHARGING SYSTEM-gari

DYNAMO au ALTERNATOR ni inayo charge battery wakati engine inawaka. So ujanja wa kujua jinsi ya kuchunguza kama inafanya kazi au la, ni jinsi tumejaribu kuonesha kwenye hii video.