HAPA UJNAJA tu!

EPC-landrover (kujua part-numbers)

Hizi tovuti kama WWW.LRPARTS.RU ni Online Parts Catalog, kuonesha sehemu hiyo part iliko kwenye gari, alafu part number ili pia uweze kujua part zingine ambao zinaingiliana au kufanana kazi na hiyo part. Kwa mfano kuna part za DEFENDER ambao zinaweza kufany kwenye DISCOVERY 4…nk, jinsi hii video imejaribu kukukmbusha!