COMPUTERS

UJANJA WA KUBADILI LUGHA YA KWENYE INSTRUMENT CLUSTER

Kwenye AUDI au VW au SKODA, ukiwa na software VCDS pamoja na cable ya VAG, unaweza kufata hii maelekezo.
SELECT > INSTRUMENTS >>ADAPTATION >>>  kwenye drop down list chagua LANGUAGE then kwenye box ya “new value” aandika number ina correspond na lugha unataka, kwa mfano kwenye hii video tulichagua 2 ambao ni English. >>>> bonyeza TEST >>>> SAVE au fata jinsi hii video inaonesha.