tovuti za muhimu

Kuhusu MAC-address (Media Access Control address)

MAC-address ni kama kitambulisho ya chombo au kifaa kinachosaidia, tuseme kama computer au simu au anything, kuweza kuunganisha kwenye mtandao (network). So in otherwords  MAC-address ni kitambulisho cha network interface modules …..as we tried kukumbusha katika hii video!