MAKING ANDROID APPLICATIONS

Haya ni masomo (course) ya kutengeneza application za kwenye simu, tunafundishana polepole, sio kila siku but kila baada ya siku moja tunaendelea kwa somo lingine ili uwe na muda wa kutosha, kufanya utafiti ili uweze kuelewa zaidi, pamoja na uwe na muda wa kutosha kuendelea na shuguli au kazi zako zingine (hapa tunatoa tu ujanja sio pesa)  HAPA UJANJA tu!
> usisahau kubonyeza WWW.ANDROID.COM

ANDROID somo-1 (install JDK-Java Development Kit)

-Kuweza kutengeneza Android application, unahitaji kuweka (install) JDK (Java Development Kit)  then ANDROID STUDIO kwasababu Studio inategemea JDK! >>Bonyeza hapa ...
click hapa kuendelea na somo hili

ANDROID somo-0 (ufananuzi)

-Katika hili somo, pata kufahamu au umbea sahihi kuhusu system ya android kabla kwendelea kutengenza application za android. -Hii tovuti ...
click hapa kuendelea na somo hili