tovuti za muhimu

UTANGULIZI KWA UJANJA WA COMPUTER

Kompyuta ni mashine (hardware) ambao inapokea (input) na kutengeneza (process) data kuwa au kutoa information (output) kulingana na maagizo (programm au setting) yaliyopewa! Data ni kama umbea hivi, yaani hauna uhakika nao unapokea tu maneno tu, mpaka uthibitishe kulingana. So anyway, Kompyuta kuweza kufanya kazi poa lazima iwe na, viffa vya kupokea maarifa, yaani input devices kama keyboard, mouse, scanner…nk! Tena kuna vifaa vya kutengeneza haya maarifa ili yawe sawa, yaani processing unit, motherboard! Tena iko na vifaa vya kuonesha hayo maarifa amabao imetengenezwa kuwa sahihi kulingana, yaaani output devices kama monitor iko kama TV, printer, speaker…nk! So this video imejaribu kuonesha au kukumbusha asilimia kubwa ya kila unapaswa kujua kwenye computer, yaaani basic introduction! Then baadae twendelelee na masoomo makubwa zaidi!