AUTOMOTIVE (magari)

Kuhusu KNOCK SENSOR

KNOCK SENSOR iko kama microphone ya kusikiliza sauti tofauti na ile kawaida ya engine. Kwa mfano mafuta na upepo kuchomwa kabla wakati au sehemu tofauti ya ile iliopangwa…yaani nje ya cylinder (combustion chamber). So hii video inajaribu kukumbusha jinsi KNOCK SENSOR inafanya kazi pamoja na jinsi ya kuipima ikiwa na shida!