AUTOMOTIVE (magari)

Kuhusu RELAY

RELAY ni kama broker (dalali) kuwa kati au kusaidia switch au kitu cha moto mdogo kuweza kuasha kitu cha moto nyigi au kubwa, jinsi hii video imejaribu kukumbusha!