AUTOMOTIVE (magari)

caliberate STEERING ANGLE SENSOR ukifanya wheel alignment

Kwasababu hii STEERING ANGEL SENSOR inaweza kubaki imeiga ile alignment mbovu ya miguu, so ukibadilisha kuweka sawa itahisi kuna shida kwenye sysyem so itawasha kuwaka kwa taa fulani, kama ESP, ABS…nk ! Hii video imejaribu kuonesha niaje!